UHUSIANO WA KIMATAIFA NI KIPAUMBELE CHA RAIS SAMIA – MAJALIWA

*Lengo ni kukuza uchumi na uwekezaji nchini WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuboresha uhusiano wa kimataifa ili kuchochea uwekezaji na kukuza uchumi wa nchi. “Mheshimiwa Rais ameniagiza niwaambie kuwa Serikali anayoiongoza ipo tayari kuwapokea, kuwasikiliza na kushirikiana nanyi katika kuimarisha shughuli za uwekezaji na biashara nchini.” Waziri Mkuu ameyasema